Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi (Nec)
inaendelea kutekeleza mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura Kwa Wananchi
Ili Kuimarisha Demokrasia Nchini.
Mwenyekiti Wa Tume Hiyo Jaji
Mstaafu Damian Lubuva Anatoa Wito Kwa Wananchi Kuendelean Kutoa
Ushirikiano Wao Kwa Nec Ili Kufanikisha Mkakati Huo.
Kwa Upande Wake Mkurugenzi Wa
Uchaguzi Wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Anatoa Wito
Kwa Wananchi Ili Kuhakikisha Elimu Ya Mpiga Kura Inamfikia Mlengwa.
Mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga
Kura Ni Utekelezaji Wa Kifungu Cha 4 (C) Cha Sheria Ya Uchaguzi Ya Mwaka
1985 Inayoitaka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kutoa Elimu Hiyo, Kusimamia
Na Kuratibu Asasi Na Taasisi Zinazotaka Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura.
No comments:
Post a Comment