Mark Childress, Balozi wa Marekani nchini Tanzania.
Katika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure
nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51
watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha
miaka miwili.
Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
No comments:
Post a Comment